Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 40:3-5

Isaya 40:3-5 NEN

Sauti ya mtu aliaye: “Itengenezeni jangwani njia ya BWANA, nyoosheni njia kuu nyikani kwa ajili ya Mungu wetu. Kila bonde litainuliwa, kila mlima na kilima kitashushwa; penye mabonde patanyooshwa, napo palipoparuza patasawazishwa. Utukufu wa BWANA utafunuliwa, nao wanadamu wote watauona pamoja. Kwa maana kinywa cha BWANA kimenena.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 40:3-5