Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 40:3-5

Isa 40:3-5 SUV

Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye, Itengenezeni nyikani njia ya BWANA; Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu. Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa; Na utukufu wa BWANA utafunuliwa, Na wote wenye mwili watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.

Soma Isa 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 40:3-5