Isaya 40:31
Isaya 40:31 NEN
bali wale wamtumainio Bwana atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mabawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia.