Isaya 40:31 - Linganisha Matoleo Yote
Isaya 40:31 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini wote wanaomtumainia Mwenyezi-Mungu, watapata nguvu mpya. Watapanda juu kwa mabawa kama tai; watakimbia bila kuchoka; watatembea bila kulegea.
Shirikisha
Isaya 40 BHNIsaya 40:31 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
Shirikisha
Isaya 40 SUVIsaya 40:31 SRUV (Swahili Revised Union Version)
bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watakimbia, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
Shirikisha
Isaya 40 SRUVIsaya 40:31 NEN (Neno)
bali wale wamtumainio BWANA atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mabawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia.
Shirikisha
Isaya 40 NEN