Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 6:5

Isaya 6:5 NEN

Ndipo nikalia, “Ole wangu! Nimeangamia! Kwa kuwa mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninaishi katikati ya watu wenye midomo michafu, nayo macho yangu yamemwona Mfalme, BWANA Mwenye Nguvu Zote.”