Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 17:5-6

Yeremia 17:5-6 NEN

Hili ndilo asemalo BWANA: “Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu, ategemeaye mwenye mwili kwa ajili ya nguvu zake, ambaye moyo wake umemwacha BWANA. Atakuwa kama kichaka cha jangwani; hataona mafanikio yatakapokuja. Ataishi katika sehemu zisizo na maji, katika nchi ya chumvi ambapo hakuna yeyote aishiye humo.