Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 39:17-18

Yeremia 39:17-18 NEN

Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema BWANA; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa. Nitakuokoa; hutaanguka kwa upanga, lakini maisha yako yatakuwa salama, kwa sababu unanitumaini, asema BWANA.’ ”