Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 1:1-3

Yohana 1:1-3 NEN

Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu. Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 1:1-3