Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 10:1

Yohana 10:1 NEN

“Amin, amin nawaambia, yeye asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia kwenye lango, lakini akwea kuingia ndani kwa njia nyingine, ni mwizi na mnyangʼanyi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 10:1