Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 10:29-30

Yohana 10:29-30 NEN

Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake. Mimi na Baba yangu tu umoja.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 10:29-30