Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 4:25-26

Yohana 4:25-26 NEN

Yule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Masiya (aitwaye Kristo) anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.” Yesu akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 4:25-26