Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 1:20-22

Ayubu 1:20-22 NEN

Ndipo Ayubu akasimama, akararua joho lake na kunyoa nywele zake. Kisha akaanguka chini katika kuabudu na kusema: “Nilitoka tumboni mwa mama yangu uchi, nami nitaondoka uchi, BWANA alinipa, naye BWANA ameviondoa, jina la BWANA litukuzwe.” Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa kumlaumu Mungu kwa kufanya ubaya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 1:20-22