Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 1:20-22

Yobu 1:20-22 BHN

Kisha Yobu akasimama, akararua mavazi yake, akanyoa nywele zake, akajitupa chini na kumwabudu Mungu. Akasema, “Uchi nilikuja duniani, uchi nitaondoka duniani; Mwenyezi-Mungu amenipa, Mwenyezi-Mungu amechukua; litukuzwe jina lake Mwenyezi-Mungu.” Katika mambo haya yote Yobu hakutenda dhambi wala hakumfikiria Mungu kuwa ana kosa.

Soma Yobu 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yobu 1:20-22