Ayubu 16:20-21
Ayubu 16:20-21 NEN
Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu; kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake.