Yobu 16:20-21
Yobu 16:20-21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Rafiki zangu hunidharau; Lakini jicho langu humwagia Mungu machozi; Laiti angemtolea mtu hoja mbele ya Mungu, Amtetee na mwanadamu mbele ya jirani yake.
Shirikisha
Soma Yobu 16Yobu 16:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Rafiki zangu wanidharau; nabubujika machozi kumwomba Mungu. Laiti mtu angenitetea mbele ya Mungu, kama ifanyikavyo duniani kati za watu wawili.
Shirikisha
Soma Yobu 16