Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 2:6

Ayubu 2:6 NEN

BWANA akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, yeye yumo mikononi mwako, lakini lazima umwachie uhai wake.”