Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 26:14

Ayubu 26:14 NEN

Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; tazama jinsi ulivyo mdogo mnongʼono tunaousikia kumhusu! Ni nani basi awezaye kuelewa ngurumo za nguvu zake?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 26:14