Ayubu 28:20-21
Ayubu 28:20-21 NEN
“Ni wapi basi hekima itokako? Ufahamu hukaa wapi? Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani.