Yobu 28:20-21
Yobu 28:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi hekima yatoka wapi? Na mahali pa ufahamu ni wapi? Kwa kuwa imefichwa mbali na macho ya wote walio hai, Na kusitirika na ndege wa angani.
Shirikisha
Soma Yobu 28Yobu 28:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, hekima yatoka wapi? Ni wapi panapopatikana maarifa? Imefichika machoni pa viumbe vyote hai, na ndege wa angani hawawezi kuiona.
Shirikisha
Soma Yobu 28