Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 5:17-18

Ayubu 5:17-18 NEN

“Heri mtu yule ambaye Mungu humrudi; kwa hiyo usidharau adhabu yake Mwenyezi. Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; huumiza, lakini mikono yake pia huponya.