Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 11:44

Walawi 11:44 NEN

Mimi ndimi BWANA Mungu wenu; jitakaseni mwe watakatifu, kwa sababu mimi ni mtakatifu. Msijitie unajisi wenyewe kwa kiumbe chochote kile kiendacho juu ya ardhi.