Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 14:34-35

Luka 14:34-35 NEN

“Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena? Haifai ardhi wala kwa lundo la mbolea, bali hutupwa nje. “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 14:34-35