Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 18:7-8

Luka 18:7-8 NEN

Je, Mungu hatawatendea haki wateule wake wanaomlilia usiku na mchana? Je, atakawia kuwasaidia? Ninawaambia, atawapatia haki upesi. Lakini je, Mwana wa Adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 18:7-8