Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 6:29-30

Luka 6:29-30 NEN

Kama mtu akikupiga shavu moja, mgeuzie na la pili pia. Mtu akikunyangʼanya koti lako, usimzuie kuchukua joho pia. Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 6:29-30