Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 13:20-21

Mathayo 13:20-21 NEN

Ile mbegu iliyopandwa kwenye sehemu yenye mawe ni mtu yule ambaye hulisikia neno na mara hulipokea kwa furaha. Lakini kwa kuwa hana mizizi yenye kina ndani yake, lile neno hudumu kwa muda mfupi tu. Kisha dhiki au mateso yanapoinuka kwa ajili ya lile neno, yeye mara huchukizwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 13:20-21