Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:39

Mathayo 26:39 NEN

Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba akisema, “Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki na kiniondokee. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 26:39