Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:29-30

Mathayo 5:29-30 NEN

Jicho lako la kuume likikusababisha kutenda dhambi, lingʼoe ulitupe mbali. Ni afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako mzima ukatupwa jehanamu. Kama mkono wako wa kuume ukikusababisha kutenda dhambi, ukate, uutupe mbali. Ni afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako mzima utupwe jehanamu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:29-30