Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 6:31

Marko 6:31 NEN

Basi kwa kuwa watu wengi mno walikuwa wakija na kutoka, hata wakawa hawana nafasi ya kula, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni peke yetu mahali pa faragha, mpate kupumzika.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 6:31