Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 9:47

Marko 9:47 NEN

Nalo jicho lako likikusababisha kutenda dhambi, lingʼoe. Ni afadhali kwako kuingia katika ufalme wa Mungu ukiwa na jicho moja, kuliko kuwa na macho mawili lakini ukatupwa Jehanamu.