Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:14-15

Wafilipi 2:14-15 NEN

Fanyeni mambo yote bila kunungʼunika wala kushindana, ili msiwe na lawama wala hatia, bali mwe wana wa Mungu wasio na kasoro katika kizazi chenye ukaidi na kilichopotoka, ambacho ndani yake ninyi mnangʼaa kama mianga ulimwenguni.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 2:14-15