Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 6:20-21

Mithali 6:20-21 NEN

Mwanangu, zishike amri za baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako. Yafunge katika moyo wako daima, yakaze kuizunguka shingo yako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 6:20-21