Methali 6:20-21
Methali 6:20-21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mwanangu, zishike amri za baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako. Yafunge katika moyo wako daima, yakaze kuizunguka shingo yako.
Shirikisha
Soma Methali 6Methali 6:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, shika maagizo ya baba yako, wala usisahau mafundisho ya mama yako; yaweke daima moyoni mwako, yafunge shingoni mwako.
Shirikisha
Soma Methali 6