Zaburi 141:1-2
Zaburi 141:1-2 NEN
Ee BWANA, ninakuita wewe, uje kwangu hima. Sikia sauti yangu ninapokuita. Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba; kuinua mikono yangu juu na kuwe kama dhabihu ya jioni.