Zaburi 141:1-2
Zaburi 141:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakuita, ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia! Uisikilize sauti yangu wakati ninapokuita! Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni.
Shirikisha
Soma Zaburi 141Zaburi 141:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, nimekuita, unijie hima, Uisikie sauti yangu nikuitapo. Sala yangu ipae mbele zako kama uvumba, Kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu ya jioni.
Shirikisha
Soma Zaburi 141