Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 40:1-2

Zaburi 40:1-2 NEN

Nilimngoja BWANA kwa saburi, naye akaniinamia, akasikia kilio changu. Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, kutoka matope na utelezi; akaiweka miguu yangu juu ya mwamba na kunipa mahali imara pa kusimama.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 40:1-2