Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 8:5-6

Zaburi 8:5-6 NEN

Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima. Umemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako; umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 8:5-6