Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 9:9-10

Zaburi 9:9-10 NENO

Mwenyezi Mungu ni kimbilio la wanaodhulumiwa, ni ngome imara wakati wa shida. Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe, kwa maana wewe Mwenyezi Mungu, hujawaacha kamwe wanaokutafuta.