Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 12:10

Ufunuo 12:10 NEN

Kisha nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema: “Sasa wokovu na uweza na Ufalme wa Mungu wetu umekuja na mamlaka ya Kristo wake. Kwa kuwa ametupwa chini mshtaki wa ndugu zetu, anayewashtaki mbele za Mungu usiku na mchana.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 12:10