Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 13:1

Ufunuo 13:1 NEN

Yule joka akajikita katika mchanga ulioko ufuoni mwa bahari. Nami nikamwona mnyama akitoka ndani ya bahari. Mnyama huyo alikuwa na pembe kumi na vichwa saba, akiwa na taji kumi kwenye hizo pembe zake, na juu ya kila kichwa kulikuwa na jina la kukufuru.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 13:1