Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 13:16-17

Ufunuo 13:16-17 NEN

Pia alimlazimisha kila mmoja, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, mtu huru na mtumwa, atiwe chapa kwenye mkono wake wa kuume au kwenye kipaji chake cha uso, ili kwamba mtu yeyote asiweze kununua wala kuuza isipokuwa amekuwa na hiyo chapa, ambayo ni jina la huyo mnyama au tarakimu za jina lake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 13:16-17