Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 13:16-17

Ufunuo 13:16-17 BHN

Aliwalazimisha wote, wadogo na wakubwa, matajiri na maskini, watu huru na watumwa, watiwe alama juu ya mikono yao ya kulia au juu ya paji za nyuso zao. Akapiga marufuku mtu yeyote kununua au kuuza kitu isipokuwa tu mtu aliyetiwa alama hiyo, yaani jina la yule mnyama au tarakimu ya jina hilo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 13:16-17