Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 6:10-11

Ufunuo 6:10-11 NEN

Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, “Hata lini, Ee Bwana Mwenyezi, uliye mtakatifu na mwaminifu, hutawahukumu na kulipiza kisasi juu ya watu waishio duniani kwa ajili ya damu yetu?” Kisha kila mmoja wao akapewa joho jeupe na wakaambiwa wangoje kwa muda kidogo zaidi, mpaka idadi ya ndugu zao na watumishi wenzao watakaouawa kama wao walivyouawa, itakapotimia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 6:10-11