Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 6:10-11

Ufu 6:10-11 SUV

Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, Ee Mola, Mtakatifu, Mwenye kweli, hata lini kutokuhukumu, wala kuipatia haki damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi? Nao wakapewa kila mmoja nguo ndefu, nyeupe, wakaambiwa wastarehe bado muda mchache, hata itakapotimia hesabu ya wajoli wao na ndugu zao, watakaouawa vile vile kama wao.

Soma Ufu 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 6:10-11