Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 6:12-13

Ufunuo 6:12-13 NEN

Nikatazama akiivunja ile lakiri ya sita. Pakatokea tetemeko kuu la nchi, na jua likawa jeusi kama nguo ya gunia iliyotengenezwa kwa singa za mbuzi, na mwezi wote ukawa mwekundu kama damu. Nyota zilizo angani zikaanguka ardhini kama vile matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 6:12-13