Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 6:14-15

Ufunuo 6:14-15 NEN

Anga ikatoweka kama vile karatasi isokotwavyo, na kila mlima na kila kisiwa kikaondolewa mahali pake. Ndipo wafalme wa dunia, wakuu wote, majemadari, matajiri, wenye nguvu na kila mtu, mtumwa na mtu huru, wakajificha katika mapango na kwenye miamba ya milima.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 6:14-15