Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 9:1

Ufunuo 9:1 NEN

Malaika wa tano akaipiga tarumbeta yake, nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka toka angani hadi ardhini. Nyota hiyo ilipewa ufunguo wa lile Shimo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 9:1