Ufunuo 9:1
Ufunuo 9:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika wa tano akapiga baragumu, nikaona nyota iliyotoka mbinguni, imeanguka juu ya nchi; naye akapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9Ufunuo 9:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Malaika wa tano akaipiga tarumbeta yake, nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka toka angani hadi ardhini. Nyota hiyo ilipewa ufunguo wa lile Shimo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9