Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 2:3-4

Warumi 2:3-4 NEN

Hivyo wewe mwanadamu, utoapo hukumu juu yao na bado unafanya mambo yale yale, unadhani utaepuka hukumu ya Mungu? Au waudharau wingi wa wema, ustahimili na uvumilivu wake, bila kujua kuwa wema wa Mungu wakuelekeza kwenye toba?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 2:3-4