Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 2:3-4

Rum 2:3-4 SUV

Wewe binadamu, uwahukumuye wale wafanyao hayo na kutenda yayo hayo mwenyewe, je! Wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu? Au waudharau wingi wa wema wake na ustahimili wake na uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuta upate kutubu?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 2:3-4