Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 2:3-4

Warumi 2:3-4 NEN

Hivyo wewe mwanadamu, unapotoa hukumu juu yao na bado unafanya mambo yale yale, unadhani utaepuka hukumu ya Mungu? Au waudharau wingi wa wema, ustahimili na uvumilivu wake, bila kujua kuwa wema wa Mungu wakuelekeza kwenye toba?

Video ya Warumi 2:3-4